Shule Direct
origin of slaver From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Shule Direct ni jukwaa la mtandaoni ambalo linatoa mafunzo kwa wanafunzi na walimu katika shule za sekondari kwa ajili ya Tanzania pekee.
Malengo hasa ni kufanya elimu inafikika popote na muda wote. Wazo la wavuti hii ni la mlimbwende wa zamani Faraja Nyalandu (zamani Kotta).
Viungo vya Nje
- Wavut Rasmi Ilihifadhiwa 9 Januari 2017 kwenye Wayback Machine.
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads