Silinda

ukarasa wa maana wa Wikimedia From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Silinda ni neno lililopokewa kutoka lugha ya Kiingereza cylinder; asili yake iko katika Kigiriki Κύλινδρος kylindros, kutoka kitenzi κυλινδειν kylíndein yaani kuzungusha.

Linaweza kumaanisha

  • mcheduara au silinda: umbo la kijiometria
  • Silinda (injini) ni nafasi au uwazi wenye umbo la bomba ambamo pistoni husogezwa
  • Silinda (mashine) ni sehemu yenye umbo la mcheduara inayozunguka na kusogeza au kusukuma kitu (mfano ndani ya printa au mashine ya kuchapa
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.

Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads