Soko huria

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Soko huria linatazamwa na wengi kama aina ya mfumo wa uchumi ambamo bei ya bidhaa na huduma haipangwi na serikali, bali inatokana na haja za wanunuzi na wingi wa hizo bidhaa au huduma.

Hata hivyo wengine wanasisitiza kwamba mara nyingi utaratibu huu hautendi haki kwa sababu uwezo wa muuzaji na mnunuzi ni tofauti, pengine sana, hivyo aliye dhaifu kiuchumi analazimika kukubali bei iliyopangwa na upande wa pili. Kwa msingi huo, soko si huria kabisa.

Kwa kawaida watetezi wa mfumo huo ni wafuasi wa ubepari.

Remove ads

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads