Soprano

Mwanamuziki wa Tanzania From Wikipedia, the free encyclopedia

Soprano
Remove ads

Soprano au Francis Xavery Ndumbaro (amezaliwa 2 Mei 1984), ni mwimbaji wa muziki wa R&B na Bongo Flava kutoka nchini Tanzania.

Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Jina la kuzaliwa ...

Anaweza kuwa anafahamika zaidi kwa kuimba nyimbo za Kausha na Pamoja Nawe, ambazo alizishirikisha mwimbaji mwingine wa hip hop na Bongo Flava, Dknob.

Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Soprano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads