Alpi za Kusini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Alpi za Kusini ni safu ya milima nchini New Zealand. Safu hii inaenea urefu wote wa Kisiwa cha Kusini.

Kilele kirefu zaidi cha Alpi za Kusini ni Aoraki (Mount Cook) ambayo imefikia kimo cha mita 3,754. [1]
Jina lilibuniwa na nahodha James Cook tarehe 23 Machi 1770: alipoona milima hiyo mirefu alikumbushwa milima ya Alpi ya Ulaya. [2]
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads