Stanley Kubrick

From Wikipedia, the free encyclopedia

Stanley Kubrick
Remove ads

Stanley Kubrick (26 Julai 1928 - 7 Machi 1999) alikuwa mwongozaji wa filamu wa Kimarekani. Kubrick anafikiriwa kuwa mmoja kati ya waongozaji filamu wakubwa wa karne ya 20.

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Amekufa ...

Alizaliwa mjini New York lakini maisha yote alikuwa akiishi Uingereza. Filamu zake ziliheshimika sana kwakuwa na maelezo ya msingi na kueleweka-kuwa na wapenzi wengi. Filamu zilizonyingi zilikuwa gumzo mara tu inapoanza kuonyeshwa.

Filamu maarufu za Kubrick ni Dr. Strangelove or: How I Learned To Stop Worrying na Love the Bomb, 2001: A Space Odyssey na The Shining. Stanley Kubrick alifariki dunia kutokana na ugonjwa wa moyo mnamo tarehe 7 Machi ya mwaka wa 1999.

Remove ads

Filamu za Stanley Kubrick

  • Day of the Fight (1951)
  • Flying Padre (1951)
  • The Seafarers (1952)
  • Fear and Desire (1953)
  • Killer's Kiss (1955)
  • The Killing (1956)
  • Paths of Glory (1957)
  • Spartacus (1960)
  • Lolita (1962)
  • Dr. Strangelove or: How I Learned to Stop Worrying and Love the Bomb (1963)
  • 2001: A Space Odyssey (1968)
  • A Clockwork Orange (1971)
  • Barry Lyndon (1975)
  • The Shining (1980)
  • Full Metal Jacket (1987)
  • Eyes Wide Shut (1999)

Viungo vya nje


Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stanley Kubrick kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads