Steven Spielberg

From Wikipedia, the free encyclopedia

Steven Spielberg
Remove ads

Steven Allan Spielberg (amezaliwa Cincinnati, Ohio, 18 Desemba 1946) ni mwongozaji na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini Marekani.

Ukweli wa haraka Steven Spielberg ...

Alianza kujipatia umaarufu miaka ya 1980, baada ya kuongoza na kutaarisha mfululizo wa filamu ya Indiana Jones. Baadaye akaja na mfululizo wa filamu ya Jurassic Park.

Vilevile Steve amewahi kushinda tuzo mara tatu ya Academy Award, kama mwongozaji na mtayarishaji bora wa filamu.

Pia Steve ni miongoni mwa waongozaji wa filamu na watengenezaji wanaosifika kwa kutumia gharamama kubwa za utengenezaji wa filamu duniani.

Remove ads

Filamu alizoongoza na kutayarisha

  • Indiana Jones 4 (2007)
  • Dhil Maree Tur Teener Chale (2006)
  • Munich (film)|Munich (2005)
  • War of the Worlds (2005 film)|War of the Worlds (2005)
  • The Terminal (2004)
  • Catch Me If You Can (2002)
  • Minority Report (2002)
  • A.I.: Artificial Intelligence (2001)
  • Saving Private Ryan (1998) (Academy Award, Best Director)
  • The Lost World: Jurassic Park (1997)
  • Amistad (1997)
  • Schindler's List (1993) (imepata tuzo ya Academy Award, kama filamu bora na mwongozaji bora wa filamu)
  • Jurassic Park (film)|Jurassic Park (1993)
  • Hook (1991)
  • Indiana Jones and the Last Crusade (1989)
  • Always (1989)
  • Empire of the Sun (1987)
  • The Color Purple (1985)
  • Indiana Jones and the Temple of Doom (1984)
  • Twilight Zone: The Movie (1983) segment: Kick the Can
  • E.T. the Extra-Terrestrial (1982)
  • Raiders of the Lost Ark (1981)
  • 1941 (1979)
  • Close Encounters of the Third Kind (1977)
  • Jaws (1975)
  • The Sugarland Express (1974)
Remove ads

Ona pia

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Steven Spielberg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads