Stibi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Antimoni au Stibi (kutoka kigiriki stimmi/stibi na Kilatini stibium iliyotaja kampaundi ya elementi) ni nusumetali au metaloidi yenye namba atomia 51 katika mfumo radidia. Uzani atomia ni 121.760.
Remove ads
Remove ads
Tabia
Elementi hutokea kwa alotropia nne na ile ya kawaida ni ya metaloidi yenye rangi buluu-nyeupe. Alotropia za rangi njano na nyeusi ni simetali tena si thabiti.
Matumizi
Matumizi yake ni katika rangi, madawa ya kuzuia moto, aloi nyingi na kutengeneza kompyuta.
Kihistoria kampaundi ya stibi (antimon) ilitumiwa kama wanja (kohl) yaani rangi ya upara.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Stibi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads