Talca
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Talca ni jina la mji mkuu wa mkoa wa Maule katika Chile. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 240,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 102 kutoka juu ya usawa wa bahari.


Remove ads
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Chile bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Talca kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads