Teluri

From Wikipedia, the free encyclopedia

Teluri
Remove ads

Teluri (kutoka kilatini tellus "ardhi") ni nusumetali au metaloidi yenye namba atomia 53 katika mfumo radidia. Uzani atomia ni 127.60.


Ukweli wa haraka Teluri (tellurium) ...
Remove ads

Tabia

Telluri ni elementi haba duniani. Ikitokea kwa umbo la fuwele ina rangi nyeupe-kifedha. Ni kechu lakini si gumu sana hivyo huvunjika haraka hadi kuwa vumbi. Hutokea pia kwa umbo la unga kahawia.

Matumizi

Hutumiwa hasa katika aloi mbalimbali na kama nusukipitisho.


Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Teluri kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads