Themanini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Themanini (kutoka Kiarabu ثمانون) ni namba inayoandikwa 80 kwa tarakimu za kawaida na LXXX kwa zile za Kirumi.
Ni namba asilia inayofuata 79 na kutangulia 81.
Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 2 x 2 x 5.
Matumizi
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads