Theodori wa Pavia

From Wikipedia, the free encyclopedia

Theodori wa Pavia
Remove ads

Theodori wa Pavia (alifariki Brescia, Lombardia, Italia 778 BK) anakumbukwa kama askofu wa mji huo wa Italia Kaskazini kuanzia mwaka 740 hivi hadi kifo chake, ingawa alifukuzwa mara kadhaa na watawala Walombardi [1].

Thumb
Sanamu yake katika kanisa lake huko Pavia.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 20 Mei[2][3].

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads