Timbaland
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Timothy Zachery Mosley (amezaliwa tar. 10 Machi 1971)[1] ni mshindi wa Tuzo za Grammy-akiwa kama mtayarishaji wa rekodi, mwimbaji na rapa bora kutoka nchini Marekani. Timbaland ametayarisha maalbamu na masingle kibao ya wasanii tangu katikati mwa miaka ya 1990 mpaka leo hii.

Kazi ya kwanza ya Timbaland ambayo imempa sifa kubwa ni ile ya mwaka wa 1996 kwenye Ginuwine...the Bachelor ya mwimbaji wa R&B Ginuwine. Baada ya kupata mafanikio makubwa kwa kazi ya albamu ya Aaliyah ya 1996, One in a Million na albamu ya Missy Elliott ya 1997, Supa Dupa Fly, Timbaland akawa mtayarishaji maarufu sana kwa upande wasanii wa R&B na hip-hop. Awali alitoa albamu kadhaa kwa ajili ya rapa mwenzi wake Magoo.
Remove ads
Diskografia
- 1997: Welcome to Our World 1
- 1998: Tim's Bio: Life from da Bassment
- 2001: Indecent Proposal 1
- 2003: Under Construction, Part II 1
- 2007: Shock Value
- 2009: Shock Value 2
1 with Magoo , Rene' Diamond Hilton
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads