Tishu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Tishu ni mkusanyiko wa seli za aina moja ambazo kwa pamoja hufanya kazi maalumu katika kiumbehai. Kisha viungo vinaundwa kwa muunganiko wa tishu mbalimbali.

Somo linalohusika na tishu linajulikana kama histolojia au, katika uhusiano na magonjwa hujulikana kama histopatholojia.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.