Tisini
Nambari ya asili From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tisini (kutoka Kiarabu تسعون) ni namba inayoandikwa 90 kwa tarakimu za kawaida na XC kwa zile za Kirumi.
Ni namba asilia inayofuata 89 na kutangulia 91.
Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 3 x 3 x 5.
Matumizi
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads