Trey Songz
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tremaine Aldon Neverson (amezaliwa 28 Novemba, 1984) ni msanii wa rekodi, mtayarishaji na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Anafahamika sana kwa jina la kisanii kama Trey Songz. Amepata kupata kutoa albamu zake tatu: I Gotta Make It, Trey Day na Ready.
Remove ads
Diskografia
- I Gotta Make It (2005)
- Trey Day (2007)
- Ready (2009)
Filmografia
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads