Tupa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tupa ni neno la Kiswahili linaloweza kumaanisha:
- Tupa (kifaa) – ni kifaa kinachotumika kunolea vitu vyenye ncha kali kwa mfano kisu, panga au jembe.
- Tupa (nyoka) – ni spishi za nyoka katika familia Lamprophiidae.
- Tupa (kitenzi) – ni tendo la kurusha kitu na kukiacha hapo.
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads