Golden Globe
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Golden Globe Awards au 'Tuzo za Golden Globe ni tuzo ambazo hutolewa kila mwaka na Hollywood Foreign Press Association (HFPA) kwa kutambulisha kazi zilizofanya vizuri katika kipindi cha mwaka mzima hasa katika suala zima la burudani, iwe nchini Marekani na nchi za kigeni, na kuchukua mawazo zaidi ya watu hasa katika kuelezea kipi kilifanywa vizuri katika filamu na vipindi vya televisheni. Kipindi hiki hutaka kufanana kabisa na kile cha Academy Awards.[1]
Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads