Ty Simpkins
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ty Keegan Simpkins (amezaliwa 6 Agosti, 2001) ni mwigizaji filamu mtoto kutoka nchini Marekani. Moja kati ya igizo lake kubwa ni pamoja na Iron Man 3 (2013), akiwa na Robert Downey, Jr., filamu ya kutisha ya James Wan Insidious na toleo lake la pili Insidious: Chapter 2, na Jurassic World (2015). Amepata kuonekana pamoja na ndugu yake wa damu, Ryan Simpkins, katika filamu kama Pride and Glory Revolutionary Road na Arcadia (filamu)
Remove ads
Filmografia
Filamu
Televisheni
Michezo ya Video
Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads