TypeScript

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

TypeScript ni lugha ya programu. Iliundwa na Anders Hejlsberg na ilianzishwa tarehe 12 Februari 2012. Iliundwa ili kuumba programu. Leo tunatumia TypeScript 3.8.2. Ilivutwa na Javascript.

Ukweli wa haraka Shina la studio, Imeanzishwa ...

Inaitwa TypeScript kwa sababu ni mageuzi ya Javascript, lugha ya programu nyingine.

Remove ads

Historia

Ilianzishwa 12 Februari 2012 nchini Marekani. Lakini Anders Hejlsberg alianza kufanya kazi kuhusu TypeScript mwaka wa 2010.

Falsafa

Namna ya TypeScript ni namna nyingi na inaozingatiwa kuhusu kipengee.

Sintaksia

Sintaksia ya TypeScript ni rahisi sana kinyume cha lugha za programu nyingine kama C++, COBOL au C sharp. Ilivutwa na sintaksia ya Java, lugha ya programu nyingine.

Mifano ya TypeScript

Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».

var ujumbe:string = "Jambo ulimwengu !" ;
console.log(ujumbe);

Programu kwa kupata factoria ya namba moja.

module FactorialModule {
	export class FactorialClass {
		fact: number = 1;
		factorial(n: number) {
			while (n > 0) {
				this.fact = this.fact * n;
				n = n - 1;
			}
			return this.fact;
		}
	}
}

Marejeo

  • Bierman, G., Abadi, M., & Torgersen, M. (2014, July). Understanding typescript. In European Conference on Object-Oriented Programming (pp. 257-281). Springer, Berlin, Heidelberg.
  • Richards, G., Zappa Nardelli, F., & Vitek, J. (2015). Concrete types for TypeScript. In 29th European Conference on Object-Oriented Programming (ECOOP 2015). Schloss Dagstuhl-Leibniz-Zentrum fuer Informatik.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads