Tzi Ma
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Tzi Ma (amezaliwa tar. 10 Juni 1962) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia wa Kichina-Kiamerika. Anafahamika sana kwa kucheza filamu na tamthilia za Kimarekani. Pia, anafahamika kwa kucheza kama Cheng Zhi kutoka katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha 24.
Viungo vya nje
- Tzi Ma at the Internet Movie Database
- Tzi Ma - Official Web Site
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tzi Ma kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads