Milima ya Usambara

From Wikipedia, the free encyclopedia

Milima ya Usambara
Remove ads

Milima ya Usambara ni sehemu iliyoinuka upande wa Kaskazini Mashariki wa nchi ya Tanzania.

Thumb
Milima ya Usambara.
Thumb
Milima ya Usambara.

Milima ya Usambara ni milima kunjamano yaani milima iliyoshikana kutoka mlima mmoja mpaka mwingine. Ni sehemu ya Tao la Mashariki.

Wenyeji wanaoishi maeneo haya ni Wasambaa, ndiyo maana ikaitwa milima ya Usambara. Iko katika mkoa wa Tanga kuanzia Korogwe kuelekea kaskazini mpaka karibu na milima ya Upare.

Milima hiyo ni:

Remove ads

Tazama pia

Viungo vya nje

Ukweli wa haraka
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads