Usingizi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Usingizi (kwa Kiingereza "sleep") ni hali ya binadamu na wanyama kupumzika kwa mwili na akili.

Usingizi hutokea wakati mapigo ya moyo na upumuaji hupungua kwa ngazi zao za chini. Misuli yako inatulia na inaweza kuwa vigumu kukuamsha. Huwa hujitambui wala hujitawali sawasawa.
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.