Kaizari Valerian

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kaizari Valerian
Remove ads

Publius Licinius Valerianus (takriban 193/200260/264) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia tarehe 22 Oktoba 253 hadi 260 alipotekwa na mfalme Shapur I wa Uajemi. Jambo hilo jipya lilitikisa dola lote.

Thumb
Shaba inayoonyesha Kaizari Valerian
Thumb
Udhalilishaji wa Kaisari Valeriani uliofanywa na Shapur I; mchoro wa Hans Holbein the Younger, 1521 hivi.

Wakati alipoandaa vita yake dhidi ya Uajemi aliamuru sadaka kwa miungu ya Roma zitolewe pia na Wakristo. Aliposikia kwamba walikataa aliagiza kuua maaskofu; Wakristo wengine waliokuwa na cheo walipoteza cheo na mali na kuuzwa kama watumwa wakikataa sadaka hiyo[1]. Alitawala pamoja na mwana wake, Kaizari Galienus. Baada ya kifo cha baba yake, Galienus alisimamisha dhuluma dhidi ya Wakristo. Alimfuata Aemilianus.

Remove ads

Tazama pia

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads