Vijay Seshadri

From Wikipedia, the free encyclopedia

Vijay Seshadri
Remove ads

Vijay Seshadri (amezaliwa 13 Februari 1954 mjini Bangalore nchini Uhindi) ni mshairi kutoka nchi ya Marekani ambako alihamia huko wakati wa utoto wake. Mwaka wa 2014 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Thumb
Vijay Seshadri

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vijay Seshadri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads