Vin Diesel
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Vin Diesel (jina la kuzaliwa: Mark Vincent,18 Julai 1967 mjini New York City) ni mwigizaji wa filamu, mtunzi, mwongozaji, na mtayarishaji kutoka nchi ya Marekani.
Anafahamika zaidi kwakuwa na misuli mikubwa, mwili mpana na sauti yake nzito. Diesel pia ni mwanzilishi wa kampuni za utengenezaji wa filamu. Miongoni mwa kampuni hizo ni OneRace Films, Tigon Studios, na Racetrack Records. Vin pia amecheza filamu kadha wa kadha zenye kumpa umaarufu na heshima kubwa. Vin vilevile alionekana katika filamu ya XXX na The Fast and the Furious.
Remove ads
Filamu Alizocheza
Remove ads
Filamu Alizotayarisha
- Multi-Facial (1994) (Mtayarisha)
- Strays (1997) (Mtayarishaji Mkuu)
- xXx (2002) (Mtayarishaji Mkuu)
- A Man Apart (2003) (Mtayarishaji Mkuu)
- Chronicles of Riddick (2004) (Mtayarishaji Mkuu)
- Life is a Dream (2004) documentary (Mtayarishaji Mkuu)
- Find Me Guilty (2006) (Mtayarishaji)
- Hannibal (2007) (Mtayarishaji)
Filamu Alizoongoza
- Multi-Facial (1994)
- Strays (1997)
- Hannibal (2008) .... Hannibal Barca - Imetangazwa - Bado inamatengenezo madogo madogo.
Filamu Alizotunga
- Multi-Facial (1994)
- Strays (1997)
Michezo ya Watoto
- The Chronicles of Riddick: Escape from Butcher Bay
- The Chronicles of Riddick: Assault on Dark Athena
- The Wheelman
Mshahara
- The Chronicles of Riddick (2004) $11,500,000
- A Man Apart (2003) $2,500,000
- xXx (2002) $10,000,000
- The Fast and the Furious (2001) $2,000,000
- Saving Private Ryan (1998) $100,000
Marejeo
- Habari za Diesel kukataa kuwa yeye sio Shoga
- Diesel katika mahojiano kuhusu filamu ya Riddick Ilihifadhiwa 16 Juni 2004 kwenye Wayback Machine.
- Filamu mpya Riddick Ilihifadhiwa 6 Septemba 2006 kwenye Wayback Machine.
Viungo vya nje
Vin katika IMDB
Vin katika Dmoz Ilihifadhiwa 13 Oktoba 2013 kwenye Wayback Machine.
VinXperience - The Ultimate Fansite
![]() |
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vin Diesel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads