Mfumo wa vyama vingi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mfumo wa vyama vingi katika siasa unashirikisha vyama mbalimbali katika kugombea uongozi wa nchi, tofauti na mfumo wa chama kimoja na ule wa vyama viwili tu [1].

Mara nyingi inatokea kwamba hakuna chama kinachopata kura za kutosha kuendesha serikali peke yake, hivi ni lazima kuiunda kwa ushirikiano wa vyama viwili au zaidi.

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.