Wahome Mutahi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Wahome Mutahi (24 Oktoba 1954 22 Julai 2003) alikuwa mwandishi mpendwa sana katika Kenya. Aliitwa Whispers kama jina la "column" aliyoiandika kwa The Daily Nation.

Aliandika pia tamthilia na vitabu. Alikuwa mtu mwenye siasa, na mhakiki mkali, lakini kila wakati alitumia ucheshi.

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads