Washington Wizards
Timu ya mpira wa kikapu ya Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani NBA kutoka Mjini Washington, D.C. From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Washington Wizards ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Washington, DC. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na John Wall, Bradley Beal.

Viungo vya Nje
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Washington Wizards kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads