Western Union
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Western Union ni kampuni ya huduma za kifedha na mawasiliano ya Marekani. Mpaka ilipoacha huduma ya telegramu mwaka 2006, kampuni hii ilikuwa ndiyo iliyojulikana zaidi kwa biashara hiyo nchini Marekani.

Western Union ina idara kadhaa, kama vile uhamisho wa fedha, hawala ya fedha amri, malipo ya biashara na huduma za kibiashara.
Hivi sasa ndiyo kampuni kubwa kabisa duniani kwa huduma za utumaji wa fedha.
Remove ads
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Western Union kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads