Bukoba Vijijini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wilaya ya Bukoba ni wilaya mojawapo kati ya 8 za Mkoa wa Kagera yenye postikodi namba 35200 [1].

Wakazi
Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 289,697 [2]. Mwaka 2007 wilaya mpya ya Misenyi iliundwa kutokana na maeneo ya awali ya Bukoba vijijini. Hata hivyo, katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 322,448 [3].
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads