Wilaya ya Mtama
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wilaya ya Mtama ni wilaya moja ya Mkoa wa Lindi. Hadi maka 2019 iliitwa Lindi Vijijini[1]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 215,764 [2]. Misimbo ya posta huanza kwa namba 652.

Mwaka 2019 rais Magufuli aliagiza makao makuu yajengwe Mtama na wilaya iitwe pia Mtama[3].
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads