William Hanna
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
William Denby "Bill" Hanna (14 Julai 1910 – 22 Machi 2001) alikuwa mwundaji wa vikatuni, mwongozaji, mtaarishaji, na mwanzilishi-mshirilki, pamoja na Joseph Barbera, wa Hanna-Barbera studio kutoka nchini Marekani. Studio ya Hanna-Barbera imaetaarisha katuni nyingi tu maarufu, ikiwemo ile ya The Huckleberry Hound Show, The Flintstones, The Jetsons, Scooby-Doo vile vile muziki wa filamu, Charlotte's Web.
Remove ads
Ona pia
Viungo vya nje
![]() |
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu William Hanna kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads