Wivu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
"Wivu" ni kumuonea mtu kijicho, kutotaka mwingine apate au kufanikiwa kwa sababu wewe hujafanikiwa kama yeye alivyofanikiwa, unataka uwe na kile ambacho mwenzako anacho au hutaki mwenzako apate kitu chochote. Pia ni husuda, hisia nzito kuhusu mtu.
![]() |
Makala hii kuhusu "Wivu" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads