Yaren
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Yaren (zamani iliitwa pia "Makwa") ni tarafa kwenye nchi ya kisiwani cha Nauru yenye nafasi ya mji mkuu. Eneo lake ni 1.5 km² kuna wakazi 1,100 (2003).

Kisheria hakuna mji mkuu nchini Nauru lakini karibu majengo yote ya serikali pamoja na bunge yapo Yaren.
Picha za Yaren
- Geti ya Bunge la Nauru
- Bunge la Nauru mjini Yaren
- Ikulu ya serikali ya Nauru
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads