Young Kikuyu Association
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Young Kikuyu Association (kwa Kiswahili: Chama cha Wakikuyu Vijana) ilikuwa moja ya vyama vilivyoundwa nchini Kenya. Iliundwa mnamo Juni 1921 na Harry Thuku.
Malengo ya kuundwa
- kupinga mfumo wa kipande
- kutaka Waafrika wajiongoze
- kutaka Waafrika wasomeshwe
- kutaka mashamba yao yarejeshwe
- kutaka ushuru wa kibanda utupiliwe mbali
Yaliyotimizwa
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Young Kikuyu Association kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads