Yuan Lee

From Wikipedia, the free encyclopedia

Yuan Lee
Remove ads

Yuan Tseh Lee (amezaliwa 19 Novemba 1936) ni mwanakemia kutoka nchi ya Taiwan. Hasa alichunguza utaratibu wa athari za kikemia.

Thumb
Thumb
Yuan Lee

Mwaka wa 1986, pamoja na Dudley Herschbach na John Polanyi alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yuan Lee kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads