Zeze
ala ya nyuzi kutoka Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Zeze ni ala ya muziki ya Afrika Kusini kwa Sahara.

Inaundwa na ngozi juu ya tungi la kitoma au ubao ulio bapa na shingo ndefu yenye nyuzi kadhaa kama za gitaa. Hupigwa kwa kuchezesha nyuzi hizo kwa kuzipiga au kuzicharaza ili kutoa sauti.
Viungo vya nje
- The Stringed Instrument Database Ilihifadhiwa 14 Januari 2014 kwenye Wayback Machine.
- ATLAS of Plucked Instruments
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Zeze kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads