Kabwe Zuberi Zitto
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kabwe Zuberi Zitto (amezaliwa 24 Septemba 1976) ni mwanasiasa nchini Tanzania. Kwa sasa ni mlezi wa chama cha Alliance for Change and Transparency.
Alisomea uchumi Tanzania na Ujerumani. Alikuwa mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini katika Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwa niaba ya Chadema alipokuwa pia Mkurugenzi wa Ofisi ya Masuala ya Kimataifa.
Mwaka 2015 alijiuzulu bungeni, akatoka katika chama cha Chadema na kujiunga na chama cha Umoja wa Mabadiliko na Uwazi (Alliance for Change and Transparency, ACT). Katika uchaguzi wa 2015 alichaguliwa upya bungeni kama mgombea wa chama hiki.[1]
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads