Ziwa Logipi
Mwili wa maji From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Ziwa Logipi ni kati ya maziwa ya Kenya, likiwa kaskazini mwa bonde la Suguta (katika Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Turkana).
Ni ziwa la chumvi lenye ukubwa wa km 6 x 3 na kina cha mita 3 hadi 5.
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads