Zumaridi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Zumaridi
Remove ads

Zumaridi (kutoka neno la Kiajemi; kwa Kiingereza: emerald) ni kito adimu chenye rangi ya kijani kilichokoza na thamani kubwa.

Thumb
Zumaridi katika hali asilia kabla ya kukatwa na kusuguliwa.
Thumb
Zumaridi dukani zilizokatwa na kung'arishwa tayari.

Inatumiwa kwa mapambo ya kila aina.

Kikemia ni umbo la fuwele la madini ya berili. Ugumu wake kwenye skeli ya Mohs ni 7.5–8.

Zumaridi katika Biblia

Zumaridi katika vitabu mbalimbali vya Biblia ina maana ya madini yenye thamani kubwa (k.mf. kitabu cha Ufunuo 4:3).

Kutokana na thamani yake Mungu amempa jina hilo mtumishi wake wa agano la mwisho yaani agano la saba.

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zumaridi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads