Mwezi wa Fahari ni maadhimisho ya kila mwaka yanayofanyika kila Juni ili kuenzi historia, utamaduni, na mafanikio ya jamii ya watu wanaoitwa kwa Kiingereza LGBTQ+. Maadhimisho hayo yalitokana na Ghasia za Stonewall za Juni 1969, tukio muhimu katika harakati za LGBTQ+, likiongozwa na wanaharakati kama Marsha P. Johnson na Sylvia Rivera.
Mwezi ni gimba la angani linalozunguka sayari, sayari kibete au asteroidi fulani. Kuna miezi mingi katika anga-nje. Vipindi vya kuonekana kwa mwezi wa Dunia vilisababisha matumizi ya "mwezi" kama majira ya wakati.