Katika jiografia, Oasisi ni eneo lenye mimea katikati ya jangwa, kwa kawaida likizunguka chemchemi au chanzo kingine cha maji. Oasisi pia hutoa makazi kwa wanyama na hata binadamu kama eneo ni kubwa vya kutosha.
Ofisi wa Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ni wizara kamili ambayo ipo chini ya Ofisi ya Rais na kusimamiwa na Waziri wa nchi akisaidiwa na manaibu wawili wao kama wasimamizi. Pia kuna Katibu mkuu ambaye yeye ni mtendaji Mkuu wa kila siku wa shughuli za serikali.