Village Voice Media ni shirika la binafsi linalomiliki Village Voice, gazeti zee kabisa na kubwa kabisa Marekani la kila wiki. Vilevile, magazeti ya LA Weekly, OC Weekly katika Orange County, California, Seattle Weekly, City Pages katika Minneapolis-St. Paul, Nashville Scene, Dallas Observer, Westword katika Denver, New Times Broward-katika Palm Beach, Houston Press, The Pitch katika Kansas City, Miami New Times, Phoenix New Times, SF Weekly mjini San Francisco, Riverfront Times mjini St. Louis, na backpage.com,tovuti ya matangazo.Shirika la New Times Media lilikuwa la kuchapisha magazeti ya kila wiki.