Top article #1
Mbung'o
Mbung'o, chafuo au ndorobo ni nzi wa jenasi Glossina, jenasi pekee ya familia Glossinidae katika oda Diptera ambao wanafyonza damu ya mamalia pamoja na watu. Wanaenezea watu ugonjwa wa malale na wanyama nagana, yanayosababishwa na vijidudu wa jenasi Trypanosoma. Nzi hao hutokea Afrika tu.
Read article
Top article #2
Mbungo
Mibungo ni aina za vichaka au mimea mbaachi inayopanda juu ya miti. Ina mafundo ya maua meupe na matunda ya ukubwa wa machungwa yanayoitwa mabungo. Maji yao ni machungu sana lakini yana vitamini C nyingi.
Read article
Top article #3
Unururifu
Unururifu ni tabia ya elementi kadhaa ambazo kiini cha atomi yake si thabiti, bali inaweza kubadilika kuwa kiini cha atomi kingine na katika mchakato huu kinatoa mnururisho. Wakati wa badiliko atomi inatoa chembe nyuklia. Mifano ya elementi ambazo si thabiti ni urani na plutoni.
Read article
Remove ads
Remove ads