No coordinates found
COMESA
Soko la Pamoja la Mashariki na Kusini mwa Afrika (COMESA) ni jumuiya ya kiuchumi ya kikanda barani Afrika yenye wanachama ishirini na moja, ikianzia Tunisia hadi Eswatini. COMESA ilianzishwa mnamo Desemba 1994, ikichukua nafasi ya Eneo la Biashara ya Upendeleo ambalo lilikuwepo tangu 1981.Nchi tisa wanachama ziliunda eneo huru la biashara mnamo mwaka 2000, huku Rwanda na Burundi zikiungana na Eneo Huru la Biashara mnamo 2004, Komoro na Libya mnamo 2006, Shelisheli mnamo 2009, Uganda mnamo 2012, na Tunisia mnamo 2018.
Read article