Map Graph
No coordinates found

John Samwel Malecela

John Samwel Malecela. Alikua mbunge wa jimbo la Mtera katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania. Anatokea katika chama cha CCM. Pia alikua Naibu Mwenyekiti wa CCM kuanzia mwaka (2005-2009), Waziri Mkuu (1990-1994), Kamishina Mkuu wa Tanzania huko Uingereza (1989-1999), Waziri wa Utamaduni Chakula na Usalama (1975-1980), na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (1972-1975).

Read article