Graham Arnold
From Wikipedia, the free encyclopedia
Graham Arnold (alizaliwa 3 Agosti 1963) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Australia. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Australia.
Arnold ameichezea timu ya taifa ya Australia tangu mwaka wa 1985. Arnold alicheza Australia katika mechi 54, akifunga mabao 19.[1]