Lemuri
From Wikipedia, the free encyclopedia
Lemuri (kutoka Kiingereza: lemur) ni aina za kima awali wa familia ya juu Lemuroidea katika nusuoda Strepsirrhini (kima wa kweli ni wana wa Haplorrhini). Wanatokea Madagaska tu. Kama kima wana mkia mrefu, kucha fupi na pana na kidole kwa kila mkono na mguu kilicho na uwezo wa kupinga vidole vingine. Lakini tofauti na kima wana pua nyevu na bongo dogo kwa ulinganisho wa ukubwa wa mwili.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Lemuri | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Lemuri mkia-miviringo | ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
| ||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||
Familia 8:
| ||||||||||||||||
Funga