Linköping
From Wikipedia, the free encyclopedia
Linköping ni mji kubwa nchini Uswidi. Ni mji mkubwa wa tano katika nchi wa Uswidi. Kuna wakazi 97,428 (mwaka 2005). Kuna pia Chuo Kikuu cha Linköping. Iko kando ya Ziwa Roxen na Mfereji wa Göta .